Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog

SHUHUDIA MWANAMKE WA AJABU.

Posted on

SHUHUDIA MWANAMKE WA AJABU.

Kwa jina unaweza muita Leilani Franco(Backbend) ana uraia wa nchi mbili (Uingereza / Philippines) alisafiri katika nafasi umbali wa 20m katika muda wadk 10.05 katika tamasha la Royal Hall mjini London Uingereza, tarehe 11 Machi 2013.Backbend binadamu ambaye ana uwezo wa kutembealea mikono na miguu kwa umbali mrefu.Pia kama inavyodhaniwa kwa kawaida Mtu anaweza tumia mikono kwa kulia chakula na kufanya shughuli nyingine,lakini kwa mwanamke huyu imekuwa ni tofauti kabisa, Mwanamke huyu ana uwezo wa kutumia miguu yake katika shughuli zake binafsi kama Kula na kadhalika.....Hatimaye, Leilani pia anashikilia rekodi ya Dunia kutokana na uwezo wake katika kuuzungusha Mwili wake.

SHUHUDIA MWANAMKE WA AJABU.
SHUHUDIA MWANAMKE WA AJABU.
Comment on this post