Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

First Artist's to Anounce to the public that He got Zero In Form Form Four exam Necta.

Posted on

Read more

MTIHANI MWEMA KWA WANACHUO WOTE.

Posted on

kila la kheri kwa wanachuo wote wanaotarajia kuanza mtihani wao wa mwisho leo (UE). Tumkumbuke mungu katika kila jambo maana ndo muongozi wa kila kitu maishani mwetu. Amen!

Read more

SHUHUDIA MWANAMKE WA AJABU.

Posted on

Kwa jina unaweza muita Leilani Franco(Backbend) ana uraia wa nchi mbili (Uingereza / Philippines) alisafiri katika nafasi umbali wa 20m katika muda wadk 10.05 katika tamasha la Royal Hall mjini London Uingereza, tarehe 11 Machi 2013.Backbend binadamu...

Read more

MATOKEO YA TAIFA STARS Vs UGANDA

Posted on

Kikosi cha timu ya Taifa Tanzania (Taifa stars) yatoka vichwa chini katika uwanja wa Amani mjini zanzibar ni baada ya kuchezea kichapo cha mabao 3 kwa bila na timu ya taifa ya Uganda (The cranes)

Read more

TIME FOR SKATING...come! Come!

Posted on

Come join us on Sunday, 21st June 2015 for our annual Go Skateboarding Day event! Go skateboarding is a day where the world comes together to celebrate the art that is skateboarding. It will be the sixth year that we'll be celebrating this event in Tanzania...

Read more

Watch Nchi ya Ahadi official video

Posted on

Brand New Video From R.O.M.A - 2030 http://twitter.com/GeeBugatty http://www.facebook.com/Gee_Bugatty255

Read more

MWAROBAINI WA WATANZANIA WAPATIKANA...mwisho wa matatizo wakaribia...

Posted on by Dizzo Van Bizzo

Rais wa Awamu ya Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Julius Kambarage Nyerere. Na Walusanga Ndaki KUMBE nchi hii ina wataalam kibao! Ina wataalam kibao wanaoweza kutatua matatizo lukuki ambayo yamewakosesha raha mamilioni ya watu wa nchi hii...

Read more

HIT AFTER HIT

Posted on by Dizzo Van Bizzo

UDSM stand up!! another from from chemical a.k.a mwana wa lubao Watch "Chemical ft Soprano Musiq Sielewi Official Mus…" on YouTube - Chemical ft Soprano Musiq Sielewi Official video

Read more

NEW HIT SONG FROM MYSTORY

Posted on by Dizzo Van Bizzo

Download hapa

Read more

TFF yatetea tuzo ya Makata...

Posted on by Dizzo Van Bizzo

Na Saphyna Mlawa KUFUATIA ukakasi wa tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) zilizotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), shirikisho hilo limeibuka na kusema kuwa Bodi ya Ligi haijakurupuka kufanya maamuzi hayo. Kauli hiyo imetolewa kutokana na malalamiko...

Read more

1 2 > >>